WAZIRI MKUU ATUMIA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KWA KASI AFURAHISHWA NA UBORA WAKE
Mkuu wa kikosi cha usalama barabarani Tanzania Mohamed Mpinga aliyeambatana na waziri mkuu amesema kuwa amepiga marufuku kutumia barabara ya mabasi ya mwendokasi hiyo atakayekutwa anaondolewa na hata kama ni magari ya serikali na kuwataka pia askari kuwaondoa watu wote wanaolala juu nyakati za usiku kwenye miundo mbinu ya barabara hizo
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.