Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: SHUGHULI ZA UZALISHAJI JIJINI MWANZA LEO ZIMESIMAMA KWA MUDA KUTOKANA NA TUKIO HILI HAPA
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
  Shughuli  za  kiuchumi  zimesimama  kwa  muda  jijini  Mwanza  leo  baada  ya  mtu  mmoja  kupanda  juu  ya  mnara  wa  simu  za  mkonon...
 Shughuli  za  kiuchumi  zimesimama  kwa  muda  jijini  Mwanza  leo  baada  ya  mtu  mmoja  kupanda  juu  ya  mnara  wa  simu  za  mkononi  na  kutishia  kujirusha  chini  kwa  madai  kuchoshwa  na  ugumu  wa  maisha.
Amepanda  mnara  uliopo  karibu  na  ofisi  za  Tunakopesha  limited  zilizo  karibu  na  mahakama  ya  wilaya  ya  Nyamagana  lakini  vikosi  vya  uokoaji  vimefanikiwa  kumtoa  kwa  kumshawishi  lakini  alipotelemka  kukaribia  chini  alijirusha  lakini  hakupata  madhara  makubwa  na  amekimbizwa  hospitalini  kwa  ajili  ya  uchunguzi  wa  afya  yake


About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top