Karagwe forum Karagwe forum Author
Title: WAZIRI MKUU ATUMIA USAFIRI WA MABASI YAENDAYO KWA KASI AFURAHISHWA NA UBORA WAKE
Author: Karagwe forum
Rating 5 of 5 Des:
 Waziri  mkuu  wa  Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania  Kasimu  Majaliwa  asafiri  kwenye  mabasi  ya  mwendo  kasi  ikiwa  ni  ziara  ya ...
 Waziri  mkuu  wa  Jamhuri  ya  Muungano  wa  Tanzania  Kasimu  Majaliwa  asafiri  kwenye  mabasi  ya  mwendo  kasi  ikiwa  ni  ziara  ya  ukaguzi  wa  usafiri  huo  na  kuridhishwa  na  utendaji  wake  na  kushauri  watumishi  wa  umma kutumia  usafiri  huo  ili  kuondoa  msongamano  wa  magari.
 Mkuu  wa  kikosi  cha  usalama  barabarani  Tanzania  Mohamed  Mpinga  aliyeambatana  na  waziri  mkuu  amesema  kuwa  amepiga  marufuku  kutumia  barabara  ya  mabasi  ya  mwendokasi  hiyo  atakayekutwa  anaondolewa  na  hata  kama  ni  magari  ya  serikali  na  kuwataka  pia  askari  kuwaondoa  watu  wote  wanaolala  juu  nyakati  za  usiku  kwenye  miundo  mbinu  ya  barabara  hizo

About Author

Advertisement

Post a Comment

 

This Template Is Designed By Jacksay | call 0764 031 242 for this service

Top