Watu
watano wamefikishwa mahakamani
kwa tuhuma za
kuhusika na tukio
la kuchoma kanisa
la Romani Katoliki Kigango cha
Nyarwele Parokia ya Kimiza jimbo
Katoliki la Kayanga
wilayani Karagwe.
Kauli hiyo imetolewa leo na Kamanda wa polisi mkoa wa Kagera Agustine Ollomi wakati akiongea na waandishi wa habari mjini Bukoba kuhusiana na matukio mbalimbali yaliyojiri mkoani Kagera.






Post a Comment